{"product_id":"0011891972062","title":"Betty Boop and Friends [Spanish]","description":"UNAWEZA KUTEMBEA UMBALI KIASI GANI UKIWA PEKU?\u003cp\u003eMwandishi wa \"Safari ya Juma\" anakualika uifuatilie simulizi ya kijana Juma aliyetembea peku umbali wa kilomita 1529 kutoka Mbeya iliyopo kusini hadi Arusha iliyopo kaskazini mwa Tanzania.\u003cbr\u003eMasaa kadhaa kabla ya kufariki, Juma alimwahidi mamake kuwa angemtafuta mzungu mmishenari aliyeko Mbeya ili amweleze habari za Yesu. Juma agundua kua yule mzungu ameishaondoka Mbeya kuelekea Arusha na hivyo hana budi kumfuata huko ili kuitunza ahadi aliyomwahidi mama yake ambaye sasa ni marehemu.\u003cbr\u003eKatika safari hii hatari, Juma akumbana na vipingamizi vingi vya kimwili na kiroho pia. Utamhurumia anapokumbana na chui na kulengwa na majangili, anapotekwa na kutumikishwa kiutumwa. Je! atasalimika kutoka katika mikono ya mbwa-mwitu wakali wanaomwinda msituni? Akiwa amepoteza fahamu na ni mgonjwa amelala kando ya barabara, Je! kuna matumaini yeyote ya kuokolewa?\u003cbr\u003eJe, atafika Arusha? Soma kitabu hiki ili kupata majibu!\u003c\/p\u003e","brand":"TGG DIRECT LLC","offers":[{"title":"Default Title","offer_id":47088531570928,"sku":"0011891972062","price":3.99,"currency_code":"USD","in_stock":false}],"thumbnail_url":"\/\/cdn.shopify.com\/s\/files\/1\/0737\/7593\/9824\/files\/0011891972062_p0.jpg?v=1763223251","url":"https:\/\/shop-qa.barnesandnoble.com\/products\/0011891972062","provider":"Barnes \u0026 Noble (DEV)","version":"1.0","type":"link"}