{"product_id":"2940154619445","title":"Sio Kile Nilichotarajia","description":"\u003cp\u003eKama tukiwa wakweli kabisa, tutakiri kwamba mara zote maisha hayajawa vile tulivyo tarajia. Kama vijana tulitarajia maisha yenye mambo makubwa na Mapenzi motomoto muda wote. Imebaka kama simulizi kwamba hayo ndo yaliyopaswa kuwa maisha yetu, uhalisia umebadili kila mpango.\u003c\/p\u003e\u003cp\u003eTaifa la Israeli pi walikuwa na mawazo yao jinsi uhuru utakavyokuwa kotoka kwenye kifungo cha Misri na shauku kubwa juu ya kile Mungu atakachowafanyia. Kutoka 16:3 ina mambo mengi ya kutuambia kuhusu matarijio ya Waisraeli no Imani juu ya Mungu.\u003c\/p\u003e","brand":"F. Wayne Mac Leod","offers":[{"title":"Default Title","offer_id":47070863818992,"sku":"2940154619445","price":1.99,"currency_code":"USD","in_stock":true}],"thumbnail_url":"\/\/cdn.shopify.com\/s\/files\/1\/0737\/7593\/9824\/files\/2940154619445_p0.jpg?v=1764073023","url":"https:\/\/shop-qa.barnesandnoble.com\/products\/2940154619445","provider":"Barnes \u0026 Noble (DEV)","version":"1.0","type":"link"}