{"product_id":"9781619930834","title":"Kiini Cha Maisha: Kielelezo Cha Mafunzo Bora","description":"Gundua njia ya urejesho wa nguvu ya kanisa! \u003cbr\u003eKiini cha maisha kinatambua sababu kadhaa zinazoleta kutokua katika kanisa la Kristo na pia kinapendekeza suluhisho madhubuti ya jinsi ya kuleta pamoja uhai wa Mungu katika moyo wa kanisa kupitia uongozi bora na mafundisho. \u003cbr\u003eMafundisho kabambe yanaanza wakati maono ya Bwana, kazi yake, na kanisa yanafanywa kwa njia ambayo watu wa Mungu wanatiwa nguvu na Roho kufanya mapenzi yake.\u003cbr\u003eWatu wa Mungu wanapaswa kusisitiza kuwa makanisa, mikutano, mashule na viongozi wafundishe ukweli wa Mungu kwa njia inayoleta mabadiliko na kutia nguvu.","brand":"Paul J. Bucknell","offers":[{"title":"Default Title","offer_id":47031737319664,"sku":"9781619930834","price":16.99,"currency_code":"USD","in_stock":false}],"thumbnail_url":"\/\/cdn.shopify.com\/s\/files\/1\/0737\/7593\/9824\/files\/9781619930834_p0.jpg?v=1763855418","url":"https:\/\/shop-qa.barnesandnoble.com\/products\/9781619930834","provider":"Barnes \u0026 Noble (DEV)","version":"1.0","type":"link"}