{"product_id":"9789966788832","title":"Zawadi ya Ajabu","description":"Zawadi ya Ajabu ni hadithi inayolenga kukuza maadili ya kusema ukweli na kuwa mwaminifu. Baraka na Zawadi ni watoto walio na matamanio ya kuzuru maeneo mbalimbali ulimwenguni, kununua mbithaa za thamani na kuwanunulia wazazi, marafiki na walimu wao tuzo za thamani. Wanaokota kitita cha pesa, je, watafanya nini?","brand":"Queenex Publishers","offers":[{"title":"Default Title","offer_id":47185538515184,"sku":"9789966788832","price":2.99,"currency_code":"USD","in_stock":true}],"thumbnail_url":"\/\/cdn.shopify.com\/s\/files\/1\/0737\/7593\/9824\/files\/9789966788832_p0.jpg?v=1763695049","url":"https:\/\/shop-qa.barnesandnoble.com\/products\/9789966788832","provider":"Barnes \u0026 Noble (DEV)","version":"1.0","type":"link"}