Skip to product information
1 of 1

James Kemoli Amata

Kionjo cha Wivu

Kionjo cha Wivu

Regular price $1.99 USD
Regular price Sale price $1.99 USD
Sale Sold out
Shipping calculated at checkout.
Quantity

KIONJO CHA WIVU ni diwani ya mashairi ya pindu. Mifano ya mikondo mbalimbali imetolewa kwa lengo la kumchochea mtafiti na mbunifu kueleza mikondo mingine ambayo katika hali ya kawaida itamtegemea mtunzi wa mashairi.
Katika maisha ya watu kuna kupata na kukosa. Ukikosa, omba. Ukiomba, subiri.
Kila mtu ana kile alichonacho. Wivu ni mbaya. Tusiwe watu wenye wivu ili tuishi kwa amani.

James Kemoli Amata ni mwalimu mstaafu wa shule ya sekondari. Alifunza na kuwatayarisha watahiniwa wa (Christian Religious Education na) Kiswahili kwa miaka mingi. Kwa mujibu wa taaluma yake, ametunga vitabu kadha vya mashairi kikiwemo UANDISHI WA INSHA NA TUNGO NZURI, TAALUMA YA USHAIRI (akishirikiana na Kitula King’ei,), MASHAIRI RAHISI, KIONJO CHA UCHOKOZI, KIONJO CHA UNAFIKI, ….

View full details