1
/
of
1
Karang'ae Chege
Mtaka cha Mvunguni
Mtaka cha Mvunguni
Regular price
$2.99 USD
Regular price
Sale price
$2.99 USD
Shipping calculated at checkout.
Quantity
Couldn't load pickup availability
Yunu, ambaye sasa ni askari polisi, anasimulia kuhusu rafiki yake waliyewahi kutenganishwa na ukinzano wa falsafa ya maisha na jinsi usuhuba huo ulirejea katika hali ya kutatanisha.
Masimulizi yake yanatujulisha mengi kuhusu Kiwiro "Rasta" ambaye alifikia kupendana na binti ya watu. Hadithi yenyewe inatufichulia changamoto zinazowakabili wengi wetu tunapotafuta mabibi wa kuoa ama mabwana wa kuolewa nao.
Zaidi ya hayo, Karang'ae Chege anatunyooshea kidole chake kwenye mambo tunayojidai kutoyaona lakini ambayo hutusumbua sana. Amefanya hivyo kwa kushughulikia maudhui kemkem katika riwaya fupi, ya udamisi na tanzia kwa pamoja. Ni kwako msomaji kuyafukua maudhui haya.
Share
