1
/
of
1
Dino Lingo
Jack Na Shina La Mharagwe
Jack Na Shina La Mharagwe
Regular price
$6.99 USD
Regular price
Sale price
$6.99 USD
Shipping calculated at checkout.
Quantity
Couldn't load pickup availability
Jack Na Shina la mharagweHapo zamani za kale, kulikuwa na kijana aliyeitwa Jack. Aliishi na mamake. Hawakuwa na pesa, lakini walikuwa na ng'ombe.Mamake Jack akasema, “Pesa zetu zimeisha. Nenda sokoni ujaribu kuuza ng'ombe yetu. Na ununue chakula na pesa utakayopata.”
Share
