1
/
of
0
Maisha Publishing
Kisa cha Sungura kuoa binti mfalme: Darasa la 3&4
Kisa cha Sungura kuoa binti mfalme: Darasa la 3&4
Regular price
$7.99 USD
Regular price
Sale price
$7.99 USD
Shipping calculated at checkout.
Quantity
Couldn't load pickup availability
Wakati wa kuolewa umerejea wa binti mfalme aliye mzuri kuwapita mabinti wote barani Afrika. Mfalme katayarisha zoezi kubwa kwa vijana wote wa karibu na wa mbali wanao taka kumuoa binti mfalme. Vijana hawa wanahitajika kuonyesha uwezo wao na nguvu kumstahili binti mfalme. Je Sungura na ujanja wake atawezaje kushinda ili amuoe binti mfalme?
Fungua ukurasa uone...
Fungua ukurasa uone...
Ni hadithi nzuri na ya kuvutia. Mwishoni wa hadithi kuna maswali.