Skip to product information
1 of 1

E & D Vision Publishing Limited

Uchambuzi wa Sera, Uongozi na Maslahi ya Watanzania

Uchambuzi wa Sera, Uongozi na Maslahi ya Watanzania

Regular price $19.99 USD
Regular price Sale price $19.99 USD
Sale Sold out
Shipping calculated at checkout.
Quantity
Katika sehemu ya kwanza na ya pili ya kitabu, Chachage anafanya uchambuzi wa kina wa mfumo wa utandawazi na soko huria. Makala yake juu ya zao la tumbaku na korosho yanadhihirisha wazi madhara yaliyowapata wakulima wadogowadogo katika soko huria, kwa maana nyingine, anaelezea juu ya uhuru waliopewa wafanyabiashara wanunuzi wa mazao ya wakulima bila usimamizi wa serikali. Kwa ustadi mkubwa, msomi wetu pia anachambua nafasi na hali ya wachimbaji wadogowadogo na jinsi wawekezaji katika migodi wanavyochuma rasilimali zetu bila kunufaisha nchi wala wazalishaji wadogo. Jambo hilo siyo geni. Hivi karibuni kumekuwa na mijadala katika magazeti ambayo inaonesha waziwazi jinsi wawekezaji katika madini wanavyonyonya nchi hii na kujilimbikizia utajiri. Hata hivyo, watawala huendelea kuegemea upande wao bila kujali ustawi wa jamii yetu.

~ Sehemu ya Utangulizi

View full details